[00:41, 1/28/2017] +255 788 683 892: Mh Joyce Ndalichako atangaza rasmi siku ya matokeo ya kidato cha nne yaani NECTA "CSEE" ni siku ya tarehe 12/2/2017 kwa mwaka wa masomo na wanafunzi watakao faulu watalazimika kuingia shuleni siku ya tarehe 1/4/2017 wanafunzi hao wawe na pass 3 na spl pass 2 ili wajiunge na kidato cha tano kwa mwaka mpya wa masomo na wanafunzi, na kuzielezea skuli zilizofanya udanganyifu kwa upande wa Unguja ni K/SAMAKI, K/KWE "C", FARAJA, TUMEKUJA, na kuzitaja zilizofanya uzur pia hivyo kuhusu matoke ni mazur kwa asilimia 75% kuliko mwaka ulopita. HABARI HII IMETOLEWA KATIKA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC.
[00:41, 1/28/2017] +255 788 683 892: https://www.youtube.com/watch?v=Atx8Bo3xHDU&feature=youtube_gdata_player
Safi keep updating
ReplyDelete