Legend wa bongofleva Dully Sykes kauanza mpya 2017 na huu mdundo mpya uitwao Yono, wimbo umetayarishwa katika studio za 4.12.
kusikiliza kali ya dully tembelea link hapa chini
http://www.audiomack.com/song/parfect-crispin/yono-perfect255com?follow
Safi sana bro siku nyingi
ReplyDelete